I Will Guide You
By Tania, Anna and Ninayo
Long braids in your hair,
A visit to the city.
Where are you going? What will you do?
Stay in the bright orange tree.
I will teach you not to worry.
Take a leap of faith-
Open the window, go up to the roof;
Build a house, simple and big.
Don’t worry about the tools.
I will teach you how to use them.
Msuko mrefu ndani ya nywele zako,
Tembelea ndani ya mji.
Unaenda wapi? Utafanya nini?
Kaa ndani ya mti wa machangwa unao ng’aa.
Nita kufundisha usiogope
Nenda na matumaini madogo
Fungua dirisha nenda juu kwenye paa.
Jenga nyumba na kubwa usihofu kuhusu vifaa.
Nitakufundisha jinsi ya
kuvitumia.
Into The Past
By Edu, Baraka,
Ngirung’a, and Britton
The water from the oceans
And the blueness of the
skies
Gives me good
blessings, good life.
Stars, planets, earth,
moon:
Ancestors and
grandparents, all in heaven.
I miss you, my family.
I want to give you
peace,
So I will remember you
As the water from the oceans
And the blueness of the
skies.
Maji kutoka baharini
Na rangi ya bluu angani
Hunipa Baraka; maisha
mazuri.
Sayari, nyota; mwezi na dunia:
Ukoo,babu na bibi wote
mbinguni.
Nawakumbuka wote
familia yangu.
Nawatakia amani
Hivyo niwakumbuke
nyie kama Maji kutoka baharini
Na rangi ya bluu angani.
In The Future
By Alexandra and Scholar
Education for my mama.
Responsibility to family, to parents, to
home.
Where are you going? What will you do?
Failure will change this future.
What will happen?
Only one thing, one thing.
Empowering women, our community.
So I will remember
To stay strong
For the education of my mama.
Elimu kwa mama yangu.
Majukumu kwa familia kwa wazazi na
nyumbani
Unaenda wapi? Na utafanya nini?
Kufeli kwake kutabadilisha baadaye.
Nini kitatokea baadaye?
Kitu kimoja tu kitu kimoja.
Kuwawezesha wanawake, kwenye jamii yetu
Kwahiyo nitakumbuka
Kuwa na nguvu
Kwa elimu ya mama yangu.
No comments:
Post a Comment